Mkataba Wa Neymar Barcelona Wavuja
Mbrazil Neymar ni Mchezaji wa karibuni zaidi Mkataba wake kuvuja akiwa Barcelona baada ya Mtandao wa Football Leaks kuweka wazi mkataba wake mpya Camp Nou. Mchezaji huyo alihamia Barcelona akitokea Santos ya Nchini Brazil a…Read More
MBIO ZA UBINGWA LA LIGA ZAZIDI KUWA NGUMU
Barcelona inazidi kubaki kileleni kwa tofauti tu ya magoli na Atletico huku zikiwa zimebaki mechi
mbili tu kumaliza msimu baada ya ushindi wao wa jana wa 2 – 0 magoli
yaliyofungwa na Rakitic na Luis Suarez dhidi ya Real …Read More
Gareth Bale Asisitiza Hana Bifu Na Christiano Ronaldo
Gareth Bale amekanusha uvumi unaomhusisha yeye kutokuwa na mahusiano mazuri na mchezaji mwenzie Christiano Ronaldo maarufu kama CR7, akisema ana mahusiano mazuri tu na mchezaji huyo na kamwe hajawahi kuingia katika mzozo…Read More
Mengine Yakustaajabisha Yanayomhusu Neymar Jr
Ni mara chache sana hutokea mtu kumsikitikia mchezaji Mkubwa anaepata kipato kidogo, lakini habari zilizovuja hivi punde kupitia mtandao wa Football Leaks zinaonyesha kwamba Neymar anapata Sh. Milioni 240 kw…Read More
0 comments:
Post a Comment