Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Kiungo Wa Everton James McCathy Avunjika Mguu

Kiungo James McCarthy wa Everton sasa atakaa nje na kuukosa msimu wote huh baada ya kuvunjika mifupa miwili ya mguu wake.

DRAW CAF CL And CC 2018

Draw Caf Cl and CC 2018

Yanga Yazinduka Yaambulia Ushindi Mwembamba

Klabu ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri

Madrid Yaivurumisha Deportivo 7-1

Klabu ya Real Madrid leo imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono kwa jumla ya magoli 7-1 dhidi ya Klabu Deportivo la Coruna

Showing posts with label Europa. Show all posts
Showing posts with label Europa. Show all posts

Thursday, March 16, 2017

Kikosi cha Genk hiki hapa Samatta kuongoza mashambulizi


Friday, February 24, 2017

Matokeo Europa League Mechi Za Jana Alhamis Feb. 23

MATOKEO EUROPA LEAGUE 2016/17




Thursday, February 16, 2017

Ratiba ya Europa ligi leo Alhamisi feb 16

Thursday, May 19, 2016

MASHABIKI 17 WA LIVERPOOL WATIWA NDANI

Mashabiki 17 wa Liverpool walitiwa kizuizini na kuachiwa kufuatia matukio yaliyojitokea katika mchezo wa fainali Europa League Jana.


HUYU NDO ALIYEIFUNGISHA LIVERPOOL KWENYE FAINALI EUROPA

Liverpool imepoteza mchezo wake wa fainali dhidi ya Sevilla kwa kufungwa magoli 3 - 1 na Alberto Moreno ndo ameonekana kuiangusha timu.



LIVERPOOL WAPOKEA KICHAPO KIZITO FAINALI EUROPA


Wednesday, May 18, 2016

REKODI ZA JURGEN KLOPP KATIKA FAINALI 5 ALIZOCHEZA


LIVERPOOL KUSAKA TIKETI YA KUSHIRIKI UEFA CHAMPIONS LEO


Wednesday, March 16, 2016

YANGA YAANZA MAZOEZI PEMBA KWA KWENDA MCHANGANI, ANGALIA TASWIRA HIZI

Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga watakuwa kibaruani Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwavaa Al Ahly kutoka Misri katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha wake, Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ameamua kikosi chake kianzie ufukweni kuufuata mchanga kikiwa kambini Pemba.

Angalia wachezaji hao walivyoanza mazoezi hayo ambayo zaidi yanaongeza stamina na kasi. Kawaida Waarabu wanasifika kwa kuwa na stamina.