Showing posts with label MatokeoUEFA. Show all posts
Showing posts with label MatokeoUEFA. Show all posts
Thursday, February 16, 2017
Sunday, May 29, 2016
Wednesday, March 16, 2016
YANGA YAANZA MAZOEZI PEMBA KWA KWENDA MCHANGANI, ANGALIA TASWIRA HIZI
Admin 16 March Afcon, Caf, Euro, Europa, Fa, Kitaifa, MatokeoCAF, MatokeoEuro, MatokeoEuropa, MatokeoFA, Matokeokagame, MatokeoUEFA, Ratibacaf, Ratibafa, Ratibakagame, Uefa, Vpl, Worldcup No comments
Mabingwa wa soka
Tanzania, Yanga watakuwa kibaruani Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam kuwavaa Al Ahly kutoka Misri katika mechi ya Ligi
ya Mabingwa Afrika.
Kocha wake, Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ameamua kikosi chake kianzie ufukweni kuufuata mchanga kikiwa kambini Pemba.
Angalia wachezaji hao walivyoanza mazoezi hayo ambayo zaidi yanaongeza stamina na kasi. Kawaida Waarabu wanasifika kwa kuwa na stamina.