Saturday, February 11, 2017

simba kukalia kiti cha uongoz wa ligi leo? ratiba kamili ya VPL


Ligi kuu tanzania bara kuendela leo katika viwanja vinne, timu nane kumenyena kuwania taji la ligi kuu Tanzania bara (VPL).

Michezo ya leo itazikutanisha timu ambazo zinataka kujinasua kutoka mkiani na timu ambazo zinalifukuzia taji hilo
Dar es salaam

SIMBA VS TANZANIA PRISONS    katika Uwanja wa Taifa
Mtwara

NDANDA FC VS TOTO AFRICAN katika Uwanja wa Nangwanda
Tanga

RUVU SHOOTING VS AZAM FC katika dimba la Mkwakwani
Shinyanga

STAND UNITED VS MAJIMAJI katika Uwanja wa CCM Kambarage
NB:

Michezo yote kupigwa leo saa 10:00 jioni 

0 comments:

Post a Comment