Saturday, April 7, 2018

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA WALAYTA DICHA HIKI HAPA

KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC 2018)
KNOCK OUT STAGE

Young Africans - Walayta Dicha FC
Stadium: Uwanja wa Taifa - Dar Es Salaam
Muda: Saa 10:00 Jion


KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA WALAYTA DICHA
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Abdallah Shaibu
5. Andrew Vincent
6. Thaban Kamusoko
7. Yusuph Mhilu
8. Raphael Daud
9. Pius Buswita
10 Ibrahim Ajibu
11. Emmanuel Martin

Kikosi cha akiba

12. Ramadhan Kabwili
13. Juma Abdul
14. Nadri Haroub
15. Patto Ngonyani
16. Juma Mahadhi
17. Yohana Mkomola
18 Geoffrey Mwashiuya

Related Posts:

  • YANGA KULIPA ZAIDI YA MILION 500 CAFKlabu ya Yanga imetakiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 530 kama fidia ya gharama za mchezo wao dhidi ya TP Mazembe baada ya kuruhusu mashabiki kuingia bure uwanjani. CAF na TFF imefikia hatua hiyo baada ya Yanga kufuta kiin… Read More
  • CAF YAIFUTA ES SETIF KLABU BINGWA AFRIKAMabingwa mara mbili wa kombe la klabu bingwa Afrika, ES Setif wametolewa katika michuano hiyo kufuatia vurugu zilizofanywa na mashabiki wao. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limeiondoa klabu ya ES Setif kweny… Read More
  • CAF YAIBEBA YANGA KUELEKEA MECHI NA MAZEMBEShirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika CAF, limewaidhinisha wachezaji watatu wa Yanga ambao walikuwa wanatumikia adhabu ya kadi kucheza, kucheza katika mchezo wao na TP Mazembe. Wachezaji wa Yanga, Oscar Joshua, Nadir … Read More
  • HII NDO HALI ILIYOPO UWANJA WA TAIFA WATU WAMEFURIKA Kuelekea Mchezo kati ya Yanga na TP Mazembe Leo Jioni Hivi Ndivyo Mashabiki Walivyofurika Uwanja Wa Taifa Mapema Leo Kusubiri Mchezo Huo. KILA LA KHERI YOUNG AFRICA Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook Hapa … Read More
  • YANGA YAANZA VIBAYA HATUA YA MAKUNDI CAF CCMchezo wa kombe la shirikisho Afrika CAF hatua ya makundi kati ya MO Bejaia na Yanga umamalizika kwa Yanga kukubali kichapo cha goli 1 kwa bila, goli lililofungwa na Yassine Salhi dakika ya 20' ya Mchezo. Kwa matokeo hayo Ya… Read More

0 comments:

Post a Comment