MESSI ABWAGA MANYANGA ARGENTINALionel Messi amesema anaacha kuitumikia timu yake ya taifa wakati huu akiwa na umri wa miaka 29 kufuatia kupoteza katika mchezo wa fainali Copa America dhidi ya Chile.
Messi amefikia maamuzi hayo baada ya Argentina kukubal…Read More
CAF YAIFUTA ES SETIF KLABU BINGWA AFRIKAMabingwa mara mbili wa kombe la klabu bingwa Afrika, ES Setif wametolewa katika michuano hiyo kufuatia vurugu zilizofanywa na mashabiki wao.
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limeiondoa klabu ya ES Setif kweny…Read More
MOURINHO AKERWA NA MAAMUZI YA ED WOODWARDKocha mpya wa Man U Jose Mourinho amekerwa na kitendo cha bosi wake Ed Woodward kushindwa kukamilisha dili la Renato Sanches.
United tayari imeshakamilisha usajili wa mlinzi kutoka Villarreal, Eric Bailly kwa uhamisho wa p…Read More
0 comments:
Post a Comment