Tuesday, May 17, 2016

MIJENGO 10 YA KIFAHARI YA MASTAA WA SOKA DUNIANI

Baada ya kushuhudia mashindano mbalimbali duniani yakimalizika katika tasnia ya michezo hasa mpira wa miguu na kuona timu zikishinda na zingine kushindwa na huku mengine yakianza, basi tutoke nje ya uwanja na kuangazia maisha ya wanasoka hawa, hapa nimekuwekea orodha ya nyumba 10 za kifahari wanazomiliki masupastaa 10 wa soka duniani.


Wayne Rooney





Neymar Jr


Mario Balotelli




Zlatan Ibrahimovic



Lionel Messi



Christiano Ronaldo



David Beckham



Thierry Henry



Gareth Bale


Garry Neville




0 comments:

Post a Comment