Ruvu Shooting ipo katika mipango ya kusajili wachezaji saba ili kujiimarisha kabla hawajaanza kipute cha ligi kuu Vodacom msimu wa 2016/17.
kwa sasa Ruvu Shooting inaendelea na kambi kwenye uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwani kujiweka fiti kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi baada ya kuikosa michuano hiyo mwaka jana waliposhuka daraja.
Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kikosi chao kimeshaanza maandalizi lengo kubwa likiwa ni kuhakikisha wanaanza ligi vizuri.
"Timu yetu ipo kambini ikiendelea na mazoezi na wakati huo, tunaendelea kutafuta wachezaji wenye uwezoa ambao wataenda kushindana na kuleta ushindani katika ligi" alisema Bwire.
Akizungumzia kikosi hicho kwa ujumla Msemaji huyo alisema kuwa kuna matatizo katik safu yao ya ulinzi, winga na ushambuliaji kitu kinachowafanya waingie sokoni kusaka wachezaji watakaomaliza matatizo hayo.
Friday, June 17, 2016
RUVU SHOOTING KUKIPA NGUVU KIKOSI CHAO
Related Posts:
RATIBA YA FAINALI KOMBE LA FA YABADILISHWA Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitakazokutanisha timu za soka ya Young Africans na Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam sasa zitafanyika Mei 25, 2016 kama ilivy… Read More
MAANDALIZI YA MWISHO YANGA KUELEKEA MCHEZO WAO LEO … Read More
MKWASA ATAJA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 27 watakaounda Taifa Stars ambacho kinajiandaa kucheza Misri Juni 4, 2016 katika mchezo wa kuwania kucheza fainali za Kombe la … Read More
HIKI NDO KIKOSI CHA YANGA LEO VS ESPERANCA Yanga leo inatarajiwa kushuka dimbani kuvaana na GD Sagrada Esperanca ya nchini Angola katika mchezo wa pili wa hatua ya mtoano kombe la shirikisho barani Afrika, katika mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Daresalaam Ya… Read More
YANGA KUTUA DAR KESHO Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga inatarajiwa kuwasili nchini kesho ikitokea Angola ilikokwenda kucheza mechi na Sagrada na kufanikiwa kutinga katika hatua ya Robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dida … Read More
0 comments:
Post a Comment