Thursday, May 19, 2016

YANGA KUTUA DAR KESHO

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga inatarajiwa kuwasili nchini kesho ikitokea Angola ilikokwenda kucheza mechi na Sagrada na kufanikiwa kutinga katika hatua ya Robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Dida akipongezwa baada ya kudaka penati



Yanga imeshatoka Dundo moja kwa moja kuelekea Luanda ulipo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Angola, ambapo watapanda ndege hadi Afrika Kusini ambako timu italala huko kabda ya kuanza safari ya kurudi Tanzania hapo kesho.



Related Posts:

  • Kikosi Cha Yanga Leo Dhidi Ya Coastal Union NUSU FAINALI  KOMBE LA SHIRIKISHO (FA CUP). Coastal Union SC Vs Young African SC. Uwanja- Mkwakwani KIKOSI CHA YANGA LEO. Deogratius Bonaventura Munish Juma Abdul Japhary Oscar Fanuel Joshua Nadir Haroub Canna… Read More
  • TAIFA STARS KUCHEZA NA HARAMBEE STARS Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars) Mei 29, 2016 jijini Nairobi. Mche… Read More
  • BREAKING NEWS: Mechi Kati Ya Coastal Na Yanga Yavunjika Mechi kati ya Coastal na Yanga imevunjika baada ya vurugu zilizoanzishwa na mashabiki wa Coastal Union Baada ya Yanga kuongeza goli la pili katika dakika 30 za nyongeza goli lililofungwa na Hamisi Tambwe dakika ya 100 ya… Read More
  • Farid Mussa Aanza Majaribio La Liga WINGA machachari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, ameanza majaribio rasmi nchini Hispania akiwa na kikosi cha timu ya CD Tenerife inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini humo. Farid,… Read More
  • Yanga Kufanya Uchaguzi Tarehe Hii Hapa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi ndani ya klabu ya Young Africans SC ya jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi … Read More

0 comments:

Post a Comment