Uongo wa wachezaji; Vidal kapiga chini Mwenyewe anadai Penati!!! Lol |
Kama Kweli Vile |
Nadhani Hapa Mashabiki Walizuiwa kuingia Uwanjani: Jamaa Kafunga Goli Kaenda Kujishangilia Mwenyewe: Hahahahaaa |
Mwangalie Golikipa: Alijua anaekuja na mtu hatari akaona aombe mungu mapema kabla haijawa tabu. |
Haya Kwa wale wachezaji wetu wa VPL; Bonge la trick hili hapa |
Pale Mbwembwe Zinapopitiliza |
Bonge moja la SAVE, Huyu Golikipa ni Hatari |
Huyu Jamaa Ukorofi Kazaliwa nao |
Hii ndo Speed ya 4G |
Mambo ya Guadiola Haya |
0 comments:
Post a Comment