Baba wa Mlinda Mlango namba 1 wa Mabingwa Watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara, Deogratius Munish amefariki Dunia mchana wa leo.
Mzee Munishi ameaga dunia mchana wa leo, kifo chake kimetokea wakati tayari Dida anakaribia kuingia uwanjani lakini hakupewa taarifa kwa sababu za kiufundi na kibinadamu.
Soka24 Inatoa Pole kwa Familia ya Dida, Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Amen
0 comments:
Post a Comment