Sunday, August 28, 2016

TANZIA;DEUS KASEKE AFIWA NA BABU YAKE

Mchezaji wa Klabu ya Yanga Deus David Kaseke  amefiwa na babu yake.

Habari Zaidi tutaendelea kuwajuza kadri tutakavyokuwa tunazipata....

Soka24 Inatoa Pole kwa Deus Kaseke Na Famila yake kwa ujumla

0 comments:

Post a Comment