Monday, August 29, 2016

MAISHA YA FABREGAS CHELSEA YAFIKA UKINGONI

Cesc Fabregas ameambiwa na kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte kuwa anaweza kuondoka klabuni hapo.

Conte ametoa kauli hiyo huku kukiwa kumebaki siku 2 tu kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili barani ulaya.
Kiungo huyo raia wa Hispania ameshindwa kumshawishi Conte kuendelea kumbakiza klani hapo.

Fabregas amecheza dakika 12 tu katika msimu huu wa ligi kuu Nchini Uingereza Chini ya Kocha Antonio Conte.
 Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA

0 comments:

Post a Comment