hatimae Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya raul katika kilabu ya real madrid. CR7 ameifikia rekodi hiyo baada ya juzi jumatano kufunga goli dhidi ya MALIMO katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya na kufikisha jumla ya magoli 324 katika michezo 308 aliyoitumikia real madrid akimuacha alihitimisha kuichezea real madrid kwa kupachika magoli 323 katika michezo 741 yaani michezo 433 zaidi ya CR7.
Friday, September 30, 2016
CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI YA RAUL
Related Posts:
FIFA YAPELEKA SEMINA YA CLUB LICENSING ETHIOPIA Wawakilishi wa Vilabu na Vyama Vya Mpira kutoka pande zote za Afrika watakutana Jijini Addis Ababa, Ethiopia wiki hii kwa ajili ya semina ya Club Licensing. Wawakilishi wa Vilabu na Vyama Vya Mpira kutoka pande zote za… Read More
MA SNIPER KULINDA MECHI YA UFUNGUZI EURO 2016 Ma-snjiper watatumika kulinda mechi ya ufunguzi michuano ya Euro 2016 kati ya wenyeji Ufaransa na Romania. Ugaidi bado ni tatizo kubwa barani Ulaya na inaonekana wazi kuwa michuano ya Euro mwaka huu ndio tageti yao kub… Read More
MKE WA IBRAHIMOVIC AMKATAZA MUWEWE KUJIUNGA NA MAN U Mke wa Zlatan Ibrahimovic hataki mumewe ajiunge na klabu ya Manchester United. Helena Seger Mashabiki wa Manchester United walizipokea kwa furaha habari zilizomhusisha Zlatan kujiunga na klabu yao, lakini furaha hiyo … Read More
HOFU YA UGAIDI MICHUANO YA EURO 2016 YATANDA Ufaransa na Ujerumani zimetoa angalizo kwamba kikundi cha kigaidi cha ISIS kinapanga kufanya mashambulizi katika michuano ya Euro 2016 Katika mataifa yote yatakayoshiriki Euro 2016 Ufaransa pekee ndiyo inakuwa katika h… Read More
HIZI NDO BLA BLA ZA MOURINHO NA MAN U TANGU 2015 Jose Mourinho amekuwa akihusishwa na kujiunga na United tangu Disemba 2015. Jose Mourinho amekuwa akihusishwa na kuchukua mikoba ya Van Gaal United tangu atimuliwe na Chelsea. Soka24 inakuletea mtiririko wa matukio ya… Read More
0 comments:
Post a Comment