Thursday, September 29, 2016
YANGA WAPATA ENEO LA UWANJA
Hatimae yanga yapata kibali cha kujenga uwanja wao katika manispaa ya kigamboni baada ya kusubiri michakato kwa muda mrefu sana. hayo yamethibitishwa na mtu wa ndani wa kilabu ya yanga hapo jana. eneo hilo lina hekari zaidi ya mia saba 700 hongera yanga.
Related Posts:
RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA JUMATANO UWANJA WA UHURU KUTUMIKA ligi kuu ya Tanzania Bara kurindima tena jumatano baada ya mapumziko ya wiki moja kwa baadhi ya timu kupisha maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya taifa stars na Ethiopia, mchezo ambao shirikisho la soka … Read More
TAMBO ZINAZIDI NA MUDA UNAKARIBIA … Read More
MARUFUKU SIMBA NA YANGA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA Serikali yatoa katazo juu ya simba na yanga kuuutumia uwanja wa taifa na kuwaambia watafute pakuchezea mechi zao. Hayo yamesemwa na waziri anaehusika na michezo mheshimiwa Nape.Nape alisema hivi “Uwanja huu sasa hautatumik… Read More
VIONGOZI TOTO AFRICANS WATUMBULIWA Uongozi wa klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza umewasimamisha baadhi ya viongozi wake kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni utovu wa nidhamu. Godwin Aiko, Mwenyekiti wa klabu hiyo amesema sababu kubwa ya kuwasimamisha… Read More
VKOSI VINAVYOANZA SIKU YA LEO … Read More
0 comments:
Post a Comment