Saturday, August 13, 2016

WALIOSAJILIWA,WALIOACHWA MAN CITY MSIMU WA 2016-17

Kuelekea Msimu wa 2016-17 klabu ya Manchester City imekamilisha Usajili Ufuatao;

WALIOINGIA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOTOKA ADA YA UHAMISHO
IIkay Gundogan                            B.Dortmund Pauni 20m
Aaron Mooy Melbourne City Huru
Nolito Celta de Vigo Pauni 13.8m
O. Zinchenko Ufa Pauni 1.7m
Leroy Sane Schalke Pauni 37m
Gabriel Jesus Palmeiras Pauni 27m
Marlos Moreno Atletico Naticional Pauni 4.7m
John Stones Everton Pauni 47.5m

WALIOONDOKA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA ADA YA UHAMISHO
M.Demichelis Espanyol Mchezaji Huru
Richard Wright ........... Amestaafu

WALIOTOLEWA KWA MKOPO;

MCHEZAJI KLABU ALIKWENDA
Gabriel Jesus Palmeiras
Marlos Moreno Deportivo La Coruna
Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 

Related Posts:

  • NONGA AOMBA VILABU VIJITOKEZE KUMSAJILIPaul Nonga ameziomba klabu ambazo zinahitaji huduma yake kufanya mazungumzo na Yanga. Mshambuliaji huyo ambae hivi karibuni aliuandika uongozi wa Yanga barua akiwa anaomba umuuze kwenye timu nyingine kutokana na kuchoshwa … Read More
  • FARID MUSSA ASUBIRI RUHUSA YA AZAM FCFarid Mussa ni winga wa Azam FC aliyepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika klabu ya Deportivo Tenerife ya nchini Hispania na kufanikiwa kufuzu majaribio hayo na sasa anasubiri ruhusa ya klabu tu ili aondoke zake. … Read More
  • SIMBA YANASA KIFAA KINGINE KIPYAKlabu ya Simba imempa mkataba wa miaka miwili kiungo Mohamed Ibrahimu tayari kwa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao. Rais wa Simba ameyathibitisha hayo kwa kusema usajili wa Ibrahimu utasaidia kuimarisha timu yao ambayo ina … Read More
  • SHOMARI KAPOMBE KURUDI MSIMBAZIKlabu ya Simba imesema inapambana kuhakikisha wanamrudisha kikosini beki wao Shomari Kapombe anayeitumikia klabu ya Azam FC kwa sasa. Kapombe ambaye hivi karibuni ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu uliopita ligi kuu Vo… Read More
  • MIPANGO YA JULIO KATIKA USAJILIKocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kiwelu "Julio" amesema yeye hana mpango wa kusajili wachezaji wa kigeni katika kikosi chake. Julio amesema lengo lake ni kutoa fursa kwa wachezaji wa ndani waweze kuonyesha uwezo wao ili waje ku… Read More

0 comments:

Post a Comment