Saturday, August 13, 2016

WALIOSAJILIWA,WALIOACHWA MAN U MSIMU WA 2016-17

Kuelekea Msimu wa 2016-17 klabu ya Manchester United imekamilisha Usajili Ufuatao;

WALIOINGIA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOTOKA ADA YA UHAMISHO
Eric Bailly Villarreal Pauni 30m
Z.Ibrahimovic PSG Pauni 20m
H.Mkhitaryan  B.Dortmund                                             Pauni 26.3m
Paul Pogba Juventus Pauni 89m

WALIOONDOKA; 

MCHEZAJI KLABU ALIKWENDA ADA YA UHAMISHO
G.Dorrington                                     .............. Mchezaji Huru
V.Valdes                                             .............. Mchezaji Huru
Nikck Powell ............. Mchezaji Huru
O.Rathbone                                        .............. Mchezaji Huru
Tyler Reid Swansea City Haijawekwa Wazi
Joe Rothwell Oxford United Mchezaji Huru
Ashley Flecher West Ham United Mchezaji Huru
Jimmy Dunne Burnely Mchezaji Huru
Oliver Byrne Cardiff City Mchezaji Huru
Paddy McNair Sunderland (McNair & Love Wote Wawili Pauni 5.5m
Donald Love Sunderland

WALIOTOLEWA KWA MKOPO;

MCHEZAJI KLABU ALIKWENDA
G.Varela Eintracht Frankfurt
Adnan Januzaj Sunderland
Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 

Related Posts:

  • PAUL NONGA ANYOOSHA MIKONO YANGA Mchezaji aliyejiunga na Yanga akitokea Stand United Paul Nonga amesema ameuomba uongozi wa Yanga umuuze. Nonga amefikia uamuzi huo baada ya kukosa nafasi ya kucheza muda mwingi katika klabu hiyo. ”Nimeomba kuuzwa na tay… Read More
  • KLABU 2 ZA MISRI VITANI KUWANIA SAINI YA DONALD NGOMA Klabu za Misri Al Ahly na Zamalek zipo katika vita ya kuwania saini ya Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma. Uwezo mkubwa wa Donald Ngoma anapokuwa uwanjani umezifanya klabu nyingi kuhitaji saini ya mchezaji huyo anaeitumi… Read More
  • ROBERT LEWANDOWSKI KUTUA REAL MADRID Wakala wa Robert Lewandowski, Cezary Kucharski amethibitisha kuwa Real Madrid walimfuata kuhusu uwezekano wa Lewandowski kutua Bernabeu. Lewandowski aliye katika kiwango cha hali ya juu kwa hivi sasa anamaliza mkataba na… Read More
  • JOSE MOURINHO ATANGAZWA RASMI KUWA KOCHA WA MANCHESTER UNITED JOSE MOURINHO ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Manchester United kwa mkataba wa miaka 3. Mourinho amechukua mikoba ya Louis Van Gaal na anakuwa kocha wa 25 kwa United. Hii hapa ni tweet ya akaunti rasmi ya Machester … Read More
  • AL AHLY WAMNYATIA DONALD NGOMA Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma ameanza kuwindwana vigogo wa soka la Misri na Afria timu ya Al Ahly. Ngoma amekuwa mshambuliaji tishio sana katika klabu ya Yanga na ametoa mchango mkubwa sana katika ma… Read More

0 comments:

Post a Comment