Lionel Messi ameweka Rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote katika kikosi cha Argentina baada ya kufunga goli katika mechi ya robo fainali michuanoo ya Copa America dhidi ya Marekani, Mechi iliyomalizika alfajiri ya Leo.
Marekani 0 - 4 Argentina
Lavezzi 3'
Messi 32'
HiguaĆn 50', 86'
0 comments:
Post a Comment