Wednesday, May 4, 2016

AZAM FC YAZIDI KUISAFISHIA NJIA YANGA


MCHEZO Wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika uwanja wa Chamanzi Complex leo, kati ya Azam FC na JKT Ruvu umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya 2 - 2.

Matokeo hayo ya Sare yameifanya Klabu ya Azam FC kupoteza matumaini ya kuwania ubingwa wa ligi kuu Msimu huu kwani hadi sasa tofauti ya pointi kati yao na Yanga inakuwa ni pointi 8, huku wakiwa wamebakisha mechi 3 katika ligi. 

0 comments:

Post a Comment