Thursday, May 5, 2016

TIMU 2 ZA LA LIGA KUKUTANA FAINALI UEFA CHAMPIONS


Uefa Champions League imeendelea tena jana, Real Madrid ilipocheza na Manchester City katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Mchezo huo uliisha kwa Madrid kupata ushindi wa Goli moja, goli ambalo Fernando alijifunga katika dakika ya 20 ya Mchezo. Real Madrid imefanikiwa kutinga fainali kwa ushindi huo kwa kuwa mchezo wa kwanza uliisha kwa suluhu ya 0 - 0.

Hivyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid katika fainali ya Uefa Msimu huu, fainali itachezwa May 28 katika uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza (Milan)
uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza (Milan)
uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza (Milan)






0 comments:

Post a Comment