Ikiwa imesalia mwezi mmoja na nusu toka sasa ili dunia
kupata mchezaji bora wa dunia Christiano Ronaldo anaonekana kukaribia kutwaa
tuzo hiyo kwa mujibu wa kura zinavyopigwa kwa sasa na jinsi washindani wenzake
wanavyomzungumzia
“Siwezi kuwa mimi, atakua Christiano Ronaldo” hayo aliyasema
Antoine Griezmann alipokua anajibu maswali ya waandishi wa habari
Ikumbukwe kuwa Ronaldo anabebwa na mafanikio aliyoyapata kwa
kutwaa kombe la kilabu bingwa ulaya, kubeba kombe la mataifa ya ulaya.
Kwa mara ya kwanza tunategemea kuona maingizo mapya ktika
nafasi tano za juu za kuwania Ballon d'Or 2016 wanaopewa chapuo ni Riyad Mahrez
wa Leicester City's na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid
0 comments:
Post a Comment