Kocha wazamani wa Paris Saint-Germain Laurent Blanc
anatazamiwa kuwa mrithi wa Frank De Boer ndani ya Inter Milan baada ya msimu
mbovu kwa kocha huyo.
Inter Milan imeuanza msimu wa 2016/2017 vibaya ambapo mpka sasa inashika nafasi ya 14 katika
serie A baada ya kuwa na point .. katika
michezo … huku ikifunga goli na kufungwa
goli ..
Laurent Blanc alitimuliwa mwanzoni mwa msimu na
nafasi yake kujazwa na kocha wa zamani wa mabingwa wa ligi ya UROPA Sevila Unai
Emery, anaendelea na mazungumzo ya kujiunga na Inter Milan
0 comments:
Post a Comment