Thursday, October 27, 2016

man yatinga robo fainali


Juan Mata amemsaidia kocha wake kupata usingizi baada ya jana kufanikiwa kuipatia Manchester united ushindi wa goli alilofunga baada ya kupata pasi murua kutoka kwa Ibrahimovic.
Bao hilo limeifanya manchestre city kulivua taji la EFL nakubaki likigombaniwa na timu 8 zilizobakia baada ya kutinga hatua ya robo fainali.
Robo fainali itakuwa kama ifuatavyo:
Man utd vs West Ham
Livepool vs leeds
Hull City vs NewCaste

Arsenal vs Southampton

0 comments:

Post a Comment