Hatimae mwigulu Nchemba amrejesha tena kundini kocha mkuu wa
yanga Hans Van Pluijm na join hii amekiongoza kikosi cha yanga katika mazoezi
yakujiandaa na mchezo wa wikiendi hii na Mbao FC.
Mwigulu ambae ni waziri katikata sreikali ya awamu ya tano
ni mnazi na mwanachama wa kilabu hiyo kongwe nchini, ameweza kushawishi pande
mbili zinazosigana na hatimae kukaa meza moja kwa mustakabali chanya wa yanga
0 comments:
Post a Comment