Klabu ya Manchester United imetoa jezi zake mpya zitakazotumiwa katika msimu ujao wa ligi kuu Uingereza.
Jezi mpya za Man U msimu ujao Bei: Shirt ni Pauni 60 (Tsh.172862) kwa wakubwa na ukihitaji ya mikono mirefu inakuwa pauni 65 (Tsh.187267) Kwa watoto Shirt ni pauni 50 (Tsh.144051.80) ya mikono mifupi na pauni 55 (Tsh.158456.98) ya mikono mirefu.
Za wanawake ni pauni 55 pia.
Bukta zinapatikana kwa pauni 30 (Tsh.86431.08) kwa wakubwa na pauni 25 (Tsh.72025.90) kwa watoto na soksi ni pauni 13 (Tsh.37453.47).
Ungana Na Soka24 Facebook, Bonyeza HAPA Kwa Habari Za Haraka Za Soka Kote Ulimwenguni.

0 comments:
Post a Comment