Wednesday, February 8, 2017

George Lwandamina Aifungukia Simba SC

Kocha wa mabingwa soka Tanzania bara Timu ya Yanga Mzambia George Lwandamina ametamba kwamba mechi dhidi ya timu ya Ngaya Club ya Comoro katika mchezo wa klabu bingwa afrika zitawapa taswira nzuri kabla ya kuvaana na maasimu wao Timu ya Simba Februari 25, mwaka huu katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Yanga inatarajia kuchuana na Simba Februari 25, mwaka huu Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam .
Kwa sasa Yanga wapo kileleni mwa Ligi hiyo kwa alama 49, wakifuatiwa na Simba yenye alama 48 baada ya timu zote kucheza michezo 21.

Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Januari 10, mwaka huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar na Simba ikashinda kwa penalty 4-2 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90

Related Posts:

  • ACACIA KUSITISHA UDHAMINI NA STAND UNITED KAMPUNI ya ACACIA inayoidhamini timu ya Stand United ya mkoani Shinyanga imesema itaondoa udhamini wake na klabu ya Stand kama Stand itaendeshwa kama kampuni. Taarifa hizo zimekuja mara baada ya Stand kutangaza kuwa kwa … Read More
  • VICENT BOSSOU AITWA TIMU YA TAIFA YA TOGO Kocha mpya wa Togo Mfaransa Claude LeRoy amemuita Vicent Bossou katika kikosi cha timu yake ya Taifa .Bossou ameitwa kutokana na kiwango kizuri alichokionyesha akiwa na klabu ya Yanga. Tayari barua ya mualiko wa kujiu… Read More
  • MBEYA CITY, YANGA KUSIMAMISHA JIJI LEO Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom inatarajiwa kuendelea tena leo kwa mchezo  utakaowakutanisha Mbeya City ya Jijini Mbeya dhidi ya Yanga ya  jijini Dar-Es-Salaam. Yanga inaingia katika mchezo huu … Read More
  • VITA YA KUWANIA NAFASI YA PILI VPL KUENDELEA TENA LEO LIGI kuu Tanzania bara inatarajia kuendelea tena leo katika viwanja viwili. Mjini Morogoro wakata miwa wa Mtibwa watawakaribisha vijana wa Msimbazi Simba SC wakati huko Tanga Azam FC itachuana na African Sports. Simba w… Read More
  • AMIS TAMBWE AMWOMBEA MABAYA KIIZA MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Dar Young Africans Amis Tambwe, amemaliza mchezo wa jana dhidi ya Ndanda FC bila ya kufunga goli, Tambwe anayeongoza katika orodha ya wafungaji bora katika ligi kuu Tanzania bara msim… Read More

0 comments:

Post a Comment