Wednesday, November 9, 2016

MCHEZO WA YANGA NA RUVU SHOOTINGI WASOGEZWA MBELE SIKU MOJA


Wakati ligi kuu ikiendelea leo jumatano, mchezo mmoja kati ya Yanga na Ruvu Shooting umesogezwa mbele hadi kesho alhamisi Kutokana na kuchelewa kuwasili kwa timu ya Ruvu katika kituo cha Dar es salaam ikitokea mkoani Kagera ilipokuwa imecheza mchezo wake wa raundi ya 14 dhidi ya wenyeji wao Kagera sugar.

Michezo mingine miwili inaendelea kama ilivyopangwa siku ya leo, Tanzania Prisons itaikaribisha Simba huko Mbeya wakati huohuo huko Shinyanga wenyeji Mwadui wataikaribisha Azam ya Dar es salaam.

Related Posts:

  • TFF YATOA ONYO KALI KWA VILABU LIGI KUU Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa onyo kali kwa timu zote kutojiingiza kwenye mtego wa aina yoyote wa kupanga matokeo. Wakati pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara likitarajiwa kufungwa Jumapili Mei 22, 20… Read More
  • YANGA KUTUA DAR KESHO Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga inatarajiwa kuwasili nchini kesho ikitokea Angola ilikokwenda kucheza mechi na Sagrada na kufanikiwa kutinga katika hatua ya Robo fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dida … Read More
  • SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya Nusu Fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini  Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wen… Read More
  • WAHISPANIA WAMWAGA WINO AZAM FC Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, tayari umefikia makubaliano na wakufunzi kutoka  nchini Hispania, Kocha Mkuu Zeben Hernandez na Mtaalamu wa Viungo, Jonas Garcia. Makocha hao wawili wa… Read More
  • HIZI NDO SABABU ZILIZOPELEKEA AZAM FC KUPOKWA POINTI 3 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitia marejeo ya uamuzi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kuipoka pointi zake ilizovuna kutoka mchezo Na. 156 dhidi ya Mbeya City ya Mbeya katka mchezo uliofanyika Uwanja wa soko… Read More

0 comments:

Post a Comment