 |
Kikosi Cha Esperance De Tunis |
Azam inatarajia kuvaana na Esperance katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, mechi ambayo itachezwa kwenye Uwanja wa Chamazi, keshokutwa Jumapili.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saadi Kawemba, amesema wapinzani wao hao watatua leo usiku na kufikia katika Hoteli ya Bahari Beach.
“Hawajatutaarifu watakuja na kikosi cha watu wangapi kwa kuwa watajihudumia wenyewe,” alisema Kawemba ambaye wiki iliyopita alisema kuwa Esperance wakifika wao Azam watawahudumia kila kitu kwa kuwa wamekubaliana makubaliano maalum ili nao wakienda Tunisia wawahudumie pia.
Related Posts:
Simba Wapata Mbadala Wa Juuko Murshid
Munezero Fiston ni Mnyarwanda ambaye yupo katika mipango ya Simba baada ya kocha Joseph Omog kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine.
Munezero, anayekipiga katika klabu ya Rayon Sport anatarajiwa kutua Dar Es Salaam Juma… Read More
Kikosi Cha Yanga Dhidi Ya Tusker Leo
SPORTPESA SUPER CUP
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TUSKER LEO
1.Deo Dida
2.Juma Abdull
3.Emanuel Kichiba
4.Andrew Vicent
5.Nadir Canavaro
6.Babu Ally
7.Yusuph Mhilu
8.Maka
9.Obby Chirwa
10.Juma Mahadhi… Read More
Asante Kwasi Kujiunga Na Yanga SC
Beki wa timu ya Mbao FC, Asante Kwasi amesema angetamani kuichezea Yanga katika msimu ujao wa ligi.
Beki huyo wa kati wa Mbao ameyasema hayo kutokana na kuvutiwa na kiwango na mafanikio ya klabu ya Yanga mabingwa mara ta… Read More
Yote Yanayoihusu Azam FC;Usajili, Waliotemwa Wanaoingia Na Mipango Msimu Ujao
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wa soka nchini kuwa imebadilisha mfumo wa usajili uliokuwa ikiutumia awali wa kusajili wachezaji kwa gharama kubwa na s… Read More
Wachezaji Yanga Kujazwa Mamilioni
Katibu mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameahidi kuwalipa wachezaji wake mishahara yao ya miezi minne wanayodai kabla ya kuanza kwa michuano ya Sportspesa Super Cup.
Kauli hiyo inakuja baada ya kuwepo kwa … Read More
0 comments:
Post a Comment