Sunday, June 19, 2016

KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA MO BEJAIA CAF CC

KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC)
KUNDI A.


MO Bejaia (Algeria) Vs Young African SC (Tanzania).
Uwanja :- Unite Maghrebine.
Muda :-Saa 6 : 15 Usiku (Tanzania).

KIKOSI CHA YANGA LEO.

1: Deogratius Munishi 'Dida'
2: Mbuyu Junior Twite
3: Oscar Fanuel Joshua.
4: Kelvin Patrick Yondani 'Cotton'
5: Vicent Bossou
6: Thabani Michael Kamusoko
7: Simon Happygod Msuva
8: Harouna Fadhil Niyonzima
9: Donald Dombo Ngoma
10: Amiss Jocelyn Tambwe
11: Deus David Kaseke

BENCHI:

Ally Mustafa Mtinge 'Bathez'
Mwinyi Haji Ngwali
Pato George Ngonyani
Antony Saimon Matheo
Juma Said Makapu.
Godfrey Furaha Mwashiuya

SOKA24 ITAKUWA INAKUPA LIVE MATCH UPDATES KATIKA KILA DAKIKA YA MCHEZO....


Related Posts:

  • MEDEAMA KUTUA DAR KESHO Wapinzani wa Yanga katika mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika, Medeama ya Ghana wanatarajiwa kutua nchini kesho tayari kwa mchezo wa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga katika msimamo wa Kund… Read More
  • MSIMAMO KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA CAF CC Msimamo Kombe La Shirikisho Barani Afrika 2016 (CAF CC) … Read More
  • NYOTA WATATU YANGA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MEDEAMA Klabu ya Yanga inaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kombe la shirikisho Barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya Medeama kutoka nchini Ghana lakini huenda wachezaji wake watatu wakaukosa mchezo huo kutokana na sababu … Read More
  • KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA TP MAZEMBEKIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Deogratius Bonaveture Munishi 'Dida' 2.Juma Abdul Mnyamani. 3. Mbuyu Twite Junior. 4. Kelvin Patrick Yondani "Cotton" 5. Vicent Bossou. 6. Thaban Michael Kamusoko. 7. Juma Mahadhi. 8. Haruna Fadhil… Read More
  • YANGA KULIPA ZAIDI YA MILION 500 CAFKlabu ya Yanga imetakiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 530 kama fidia ya gharama za mchezo wao dhidi ya TP Mazembe baada ya kuruhusu mashabiki kuingia bure uwanjani. CAF na TFF imefikia hatua hiyo baada ya Yanga kufuta kiin… Read More

0 comments:

Post a Comment