Saturday, August 13, 2016

VIINGILIO YANGA VS MO BEJAIA

Wawakilishi pekee Afrika Mashariki katika michuano ya Kombe la shirikisho Barani Afrika CAF CC, timu ya Yanga inatarajiwa kushuka katika dimba la Taifa leo kuwakabili MO Bejaia katika mchezo wa kundi A ambalo lina timu za Yanga, TP Mazembe, Medeama pamoja na MO Bejaia.

Viingilio katika mchezo huo kitakuwa ni Sh 3,000 kwa mzungunguko kwa maana ya viti vya kijani, bluu na chungwa wakati Viti Maalumu vyenye hadhi ya daraja B na C kiingilio kitakuwa Sh 10,000 wakati A kiingilio kitakuwa ni Sh 15,000 kwa mujibu wa Waratibu wa Young Africans.
Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 


0 comments:

Post a Comment