Thursday, March 16, 2017

Ahmad Ahmad rais mpya CAF ashinda kwa kishindo,ambwaga Issa Hayatou




Kiongozi wa mpira nchini Madagascar Ahmad Ahmad amembwaga Rais CAF aliedumu kwa 29 Issa Hayatou katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Rais wa shirikisho la Mpira barani Afrika CAF.
Ahmad amepata kura 34 wakati Hayatou amepata kura 20, uchaguzi uliofanyika nchini Ethiopia
“Ukitaka kufanya jambo fanya” alisema Ahmad “na mimi nimefanya”

Ahmad (57) ambae kabla ya kuwa rais wa chama cha soka cha Madagascar 2003 aliwahi kuwa mchezaji na badae akawa mwalimu(kocha).

wakati huo huo Zanzibar nayo Rasmi yawa mwanachama katika shirikisho hilo

Related Posts:

  • HATIMA YA SERENGETI BOYS KUJILIKANA LEO Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 "Serengeti Boys" inashuka dimbani tena leo Mei 21 kucheza na Malaysia. Serengeti Boys inayofanya vizuri katika michuanao hiyo huko nchini India ilifanikiw… Read More
  • BAADA YA KUSHUKA DARAJA ASTON VILLA YAPIGWA MNADA Klabu ya soka ya Aston villa ambayo imeteremka daraja msimu huu katika ligi kuu ya England,hatimaye imenunuliwa na tajiri wa kichina Tony Xia ambaye ni mfanya biashara aliyewekeza katika sekta ya Michezo,Utalii,kilimo na afy… Read More
  • UJUMBE WA WHATSAPP ALOTUMA RONALDO KWA NEYMAR WANASWA Christiano Ronaldo amemtumia ujume Neymar kwa njia ya Whatsapp baada ya Barcelona kushinda La Liga. Superstaa wa Madrid Christiano Ronaldo amemtumia Neymar ujumbe wa pongezi wiki iliyopita akimpongeza kwa kutwaa taji la… Read More
  • TIMU YA SAMATTA YAIBAMIZA ANDERLECHT 5 - 2 GENK 5 - 2 ANDERLECHT WAFUNGAJI;KRC GENK L. Bailey 45'+, T. Buffel 65', Pozuelo 76', O. Ndidi 78', N. Karelis 90'+ ANDERLECHT; F. Đuričić 25', M. Suárez 60' … Read More
  • BRENDAN RODGERS KOCHA MPYA CELTIC Rodgers aliyetimuliwa na Liverpool mwezi October 2015 amechukua nafasi ya kocha Ronny Deila aliyeachia ngazi katika klabu ya Celtic ya nchini Scotland. Kocha huyo wa Zamani wa Liverpool na Swansea amesaini mkataba wa mie… Read More

0 comments:

Post a Comment