Saturday, February 11, 2017

Ligi Daraja la kwanza Tanzania bara kuendelea leo february 11kwa michezo kadhaa kwa makundi miwili tofauti.


Ligi Daraja la kwanza Tanzania bara kuendelea leo kwa michezo kadhaa kwa makundi miwili tofauti.

KUNDI B:

Mkoani Ruvuma

Mlale JKT vs Kurugenzi FC

Mkoani Njombe

Njombe Mji vs Coastal Union
 KUNDI C:

Mkoani Tanga

Mgambo Shooting vs Polisi Dodoma

Mkoani Mara

Polisi Mara vs Mvuvumwa

Mkoani Kilimanjaro:

Panone vs Rhino rangers

Mkoani Singida

Singida United vs Alliance School
michezo yote kupigwa jioni ya leo


Ratiba hii ni kwa msaada wa tff  

0 comments:

Post a Comment