Tuesday, April 12, 2016

Kombe La FA Ngoma nzito.... Angalia matokeo ya droo hapa.

Droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, leo imepangwa.

Mwadui FC imepangiwa Azam FC na mechi ya kwanza itachezwa mjini Shinyanga wakati Yanga wao watacheza na Coastal Union ambao wataanzia mjini Tanga.

ITAKUWA HIVI:

Mwadui Vs Azam FC

Coastal Union Vs Yanga

0 comments:

Post a Comment