Saturday, October 8, 2016

RATIBA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO JUMAMOSI OCT 8

baada ya michezo mingi kupigwa usiku wa kuamkia leo na kushudia magoli mengi saana, usiku wa leo michezo kadhaa itapigwa kote duniani kufuzu michuano ya kombe la dunia 2018 huko urusi.
ifuatayo ni ratiba kwa makundi kama yanavyoonekana

BARANI ULAYA

KUNDI C:
Azerbaijan vs Norway           19:00
Germany vs Czech repulic     21:45
N.Ireland vs San Marino       21:45



KUNDI E:
Armenia vs Romania            19:00
Montenegro vs Kazakhstan    19:00
Poland vs Denmark               21:45

KUNDI F:
England vs malta                  19:00
Scotland vs Lithuania            21:45
Slovenia vs Slovakia             21:45


BARANI AFRIKA

KUNDI A:
DR Congo vs Libya              20:30

KUNDI C:
Gabon vs Morroco               18:00
Ivory Coast vs Mali               21:00


KUNDI D:
B, Faso vs S,Africa               21:00

Senegal vs Cape Verde           23:00

Related Posts:

  • Kapombe Kutua Bongo BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amerejea nchini jana jioni baada ya wataalamu wa Hospitali ya Morningside Mediclinic ya jijini Johannesburg, Afrika Kusini kurishidhwa na … Read More
  • Liverpool Warudia Maajabu Waliyoyafanya Mwaka 2005 Ilipocheza Na AC Milan Majogoo wa Anfield jana walikuwa kibaruani kuikabili klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani katika mchezo wa pili wa robo fainali wa kombe la Europa League. Mechi hiyo iliyokuwa ya kasi ilishuhudia Liverpool ikichapwa go… Read More
  • Tambwe Amechuja Awekwe Benchi Mashabiki wa Klabu ya Dar Young Africans wameonyesha kutokufurahishwa na kiwango kinachoonyeshwa na mshambuliaji wao Amis Tambwe siku za hivi karibuni. Tambwe ambe ana magoli 18 katika orodha ya wafungaji bora msimu huu an… Read More
  • Abdi Banda Alia Na Viongozi Wa Simba Mchezaji wa Simba Abdi Banda anasema hajui mustakabali wake katika Klabu hiyo kufuatia tamko la adhabu aliyopewa kutokana  na kupishana kauli na kocha wake Jackson Mayanja katika mechi dhidi ya Coastal Union. Ana… Read More
  • Wachezaji 5 Matajiri Zaidi Duniani Kama ulikuwa hujui mpira wa miguu ni moja kati ya michezo inayopendwa zaidi duniani. Inaweza ikakushangaza lakini ukweli ndio uko hivyo. Na kutokana na ukweli huo, wachezaji bora wanapata pesa nyingi sana, kama ulishawahi k… Read More

0 comments:

Post a Comment