Saturday, October 8, 2016

MATOKEO KUFUZU KOMBE LA DUNIA OCTOBA 7


michezo mbalimbali imepigwa kote duniani kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia mwaka 2018 huko urusi.

ureno wameiadhibu vikali Andora kwa kuwachapa goli 6-0 kwa magoli manne ya Cristiano Ronaldo na mengine ya Andre Silver pamoja na Joao Cancelo.38'
Mechi nyingine yenye magoli mengi ni kati ya Ufaransa na Bulgaria ambapo ufaransa imetoa kipigo cha 4 - 1. bulgaria ndio walianza kupata bao mnamo dakika ya 6 kupitia kwa Mihail Aleksandrov, kupatikana kwa goli hilo kuliizindua ufaransa na kuliandama lango la wapinzani wao na mnamo dk 23 kevin Gameiro aliwaamsha mashabiki vitini baada ya kutupia goli la kusawazisha, baada ya goli hilo karamu ya magoli ilianza rasmi pale Dimitri Payet alipofunga dk 26 huku dk 38 Antonie Griezmann akifunga la tatu. mpaka mapumziko matokeo yalikua 3 - 1, kipindi cha pili ufaransa walijipatia goli moja kupitia kwa  kevin Gameiro dk 59.
MATOKEO YA MICHEZO YA JANA NI KAMA IFUATAVYO:
ULAYA
KUNDI A
France 4 - 1 Bulgaria
Luxembourg 0 - 1 Sweden
Netherland 4- 1 Belaru
KUNDI B
Hungary 2 - 3 Switzland
Lativia 0 - 2 Faroe island
Portugal 6 - Bolvia

KUNDI H
Belgium 4 - 0 Bosnia Herzegovina
Estonia  4 - 0 Gibraltar
Greece 2 - 0 Cyprus
AFRIKA
KUNDI E
Ghana 0 - 0 Uganda



Related Posts:

  • Ratiba Bundesliga Ratiba Bundesliga 2015/2016 Ijumaa April 15, 2016 21:30 Hannover 96 v Borussia M'gladbach Jumamosi, April 16, 2016 16:30 FC Augsburg v Stuttgart 16:30 Bayer Leverkusen v Fran… Read More
  • Ratiba Serie A Ratiba Serie A 2015/2016 Jumatatu, April 11, 2016 21:45 AS Roma v Bologna Jumamosi April 16, 2016 16:00 Bologna v Torino 19:00 Carpi v Genoa 21:45    Internazionale&nbs… Read More
  • Ratiba La Liga Ratiba La Liga 2015/2016 Jumatatu, April 11, 2016 21:30 Deportivo La Coruña v Las Palmas Ijumaa, April 15, 2016 21:30 Levante v Espanyol Jumamosi, April 16, 2016 17:00 Getafe v R… Read More
  • Matokeo Ligue 1 April 10/2016 Lille       4 - 1     Monaco Amalfitano 37'   F. Bahlouli 90'+ Éder 67' Obbadi 77' Sidibé 88' Nice       3 - 0   Rennes Ben Arfa 33', 41', 56' O.… Read More
  • Ratiba EPL Ratiba English Premier League Jumatano, April 13, 2016 22:00 Crystal Palace v Everton  Jumamosi, April 16, 2016 14:45 Norwich City v Sunderland 17:00 Everton v Southampt… Read More

0 comments:

Post a Comment