Friday, October 7, 2016

MATOKEO KOMBE LA DUNIA

michezo mbalimbali imepigwa jana ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazo pigwa urusi mwaka 2018.
Mchezo uliovuta hisia za mamilioni ya watu duniani ni kati ya Hispania na italia ambapo mchezo huo umeisha kwa sare ya goli moja kwa moja na hivyo kuondoa tambo za  muda mrefu baina ya mashabaki.
  ilikua ni hispania iliyoanza kupata bao kupitia kwa vitolo dakika ya 55 kablaDaniel De Rossikuisawazishia itali dakika  ya 82. michezo mingine ni brazili kuiazibu  Blivia  5 0 kwa magoli ya Neymar aliyefunga mara mbili, countinho ,filipe Luis, Gabriel Jesus na Roberto Firmino ndio waliohitimisha ushindi huo wa 5-0 kwa Brazil,
 matokeo mengine ni kama yafuatavyo
KUNDI D
AUSTRALIA 2-2 WALAS
IRELAND 1-0 GEORGIA
MOLDOVA  0-3 SERBIA
KUNDI G
FYR MARCEDONIA 1-2 ISRAEL
ITALY 1- 1 SPAIN
LIETCHNSTEIN 0-2 ALBANIA

KUNDI I
ICELAND 3- 2 FINLAND
KOSOVO 0-6 CROATIA
TURKEY 2-2 UKRAINE
Matokeo mengine kwa bara la amerika ni kama ifuatavyo
ECUADOR 3-0 CHILE
URUGUAY 3-0 VENEZUELA
PARAGUAY 0-1 COLOMBIA
BRAZIL 5-0 BOLIVIA
mpaka tunaposti matokeo haya kulikua na mchezo unaendelea kati ya Argentina na peru na argentina alikua anaongoza 2 kwa moja





Related Posts:

  • Ratiba Bundesliga Ratiba Bundesliga 2015/2016 Ijumaa April 15, 2016 21:30 Hannover 96 v Borussia M'gladbach Jumamosi, April 16, 2016 16:30 FC Augsburg v Stuttgart 16:30 Bayer Leverkusen v Fran… Read More
  • Ratiba EPL Ratiba English Premier League Jumatano, April 13, 2016 22:00 Crystal Palace v Everton  Jumamosi, April 16, 2016 14:45 Norwich City v Sunderland 17:00 Everton v Southampt… Read More
  • Matokeo Ligue 1 April 10/2016 Lille       4 - 1     Monaco Amalfitano 37'   F. Bahlouli 90'+ Éder 67' Obbadi 77' Sidibé 88' Nice       3 - 0   Rennes Ben Arfa 33', 41', 56' O.… Read More
  • Matokeo Bundesliga April 10/2016 Koln          0 - 2        Bayern Leverkusen                                 &n… Read More
  • Afisa Habari Wa Simba Anusurika Kifo Afisa Habari wa Simba Sports Club Haji Manara amenusurika kifo jana kutokana na ajali ya bajaji, Manara alikuwa kwenye bajaji kwa bahati mbaya akachomoka kutokea nje wakati bajaji ikiwa kwenye mwendo mkali. Ajali hiyo im… Read More

0 comments:

Post a Comment