Saturday, May 7, 2016

YANGA YAIKALISHA ESPERANCA TAIFA


Mchezo kati ya Yanga na Sagrada Esperanca ya Nchini Angola uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar-Es-Salaam leo umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0. Magoli ya Yanga Yamefungwa na Simon Msuva dakika ya 72 na lingine likifungwa na Matheo Simon katika dakika ya 91 ya Mchezo huo.

0 comments:

Post a Comment