Monday, October 10, 2016

RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA JUMATANO UWANJA WA UHURU KUTUMIKA


ligi kuu ya Tanzania Bara kurindima tena jumatano baada ya mapumziko ya wiki moja kwa baadhi ya timu kupisha maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya taifa stars na Ethiopia, mchezo ambao shirikisho la soka la Ethiopia liliufuta kwa sababu za kiusalama nchini Ethiopia.
wakati ligi ikiendelea jumatano hii kitendawili cha yanga na simba watatumia uwanja gani kimeteguliwa na kamati ya mashindano ya Tff baada ya kuiruhusu yanga kuutumia uwanja wa mdogo wa taifa (shamba la bibi) kwa ajili ya michezo yake kama uwanja wake wa nyumbani." Kwa mujibu wa Kanuni ya 6 kipendelea cha kwanza, Young Africans wametambulisha Uwanja wa Uhuru kama uwanja wa nyumbani kwa sasa baada ya kuleta maombi Shirikisho la Miguu Tanzania (TFF) ambako baada ya kuyafanyia tathimini kwa mujibu kanuni hiyo ya sita, kipendelea cha sita, TFF imeiridhia klabu hiyo ya Mtaa wa Jangwani, kutumia uwanja wa Uhuru".
yanga itashuka katika dimba la uhuru kupepetana na mtibwa sugar ya manungu morogoro.
michezo mingine itakayopigwa siku hiyo ya jumatano ni kama ifuatavyo:-
mbeya city vs simba sc      sokoine
majimaji vs kagera sugar     songea
jkt ruvu vs Tanzania prisons    mabatini
stand united vs azam        ccm kambarage
mwadui vs afrika lion       mwadui comlex


mbao vs toto african       ccm kambarage         




Related Posts:

  • SIMBA NA AZAM WAPELEKA SHANGWE JANGWANI MECHI ya Ligi kuu Bara kati ya Simba na Azam Fc imemalizika kwa timu hizo kutoka suluhu ya 0 - 0, Mchezo ulikuwa wa taratibu sana kipindi cha kwanza lakini kipindi cha pili hasa baada ya vurugu zilizotokea baada ya … Read More
  • HIZI NDO REKODI ZA SIMBA NA AZAM (HEAD-TO-HEAD) Simba leo wataingia uwanjani kuwakabili Azam Fc vijana wa Chamanzi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Timu hizi zinakutana leo zote zikiwa zinahitaji matokeo ya ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kupigania… Read More
  • AZAM FC YAZIDI KUISAFISHIA NJIA YANGA MCHEZO Wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika uwanja wa Chamanzi Complex leo, kati ya Azam FC na JKT Ruvu umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya 2 - 2. Matokeo hayo ya Sare yameifanya Klabu ya Azam FC kupoteza m… Read More
  • HAMISI TAMBWE AIFIKIA REKODI YA ABDALLAH JUMA YA MWAKA (2006) Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Hamisi Tambwe ndiye anaongoza katika chati ya ufungaji bora ligi Kuu Tanzania bara Msimu huu wa 2015/2016. Tambwe ambae jana alifunga goli katika mechi dhidi ya Stand United, alifikisha jum… Read More
  • HIVI NDO VIKOSI VYA SIMBA NA AZAM FC LEO KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA AZAM FC 28 Aishi Manula 6 Erasto Nyoni 2 Gadiel Michael 13 Aggrey Morris 12 David Mwantika 16 Jean Mugiraneza 14 Ramadhan Singano 8 Salum Abubakar 10 Kipre Tchetche 19 John Bocco (C) 22 … Read More

0 comments:

Post a Comment