MECHI 2 KALI ZA KUZITAZAMA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA
SIMBA SC VS MWADUI FC
Simba leo wanawakaribisha Mwadui FC katika mchezo wa 27 wa
Ligi kuu Tanzania Bara, Simba wanaingia katika mechi hii wakiwa na rekodi mbaya
katika mechi za hivi karibuni, kwanii hutakiwi kukosa ku…Read More
TAYARI MAN UTD IMENASA SAINI ZA WACHEZAJI HAWA 4
Mashabiki wa Manchester United wanahamu kubwa ya kujua kina nani watatua katika klabu yao mara baada ya kumalizika msimu huu wa Ligi kuu. Lakini wakiwa katika shauku hiyo tayari klabu ya Man UTD imeshanasa saini za makin…Read More
INTER MILANI YAFUZU KUSHIRIKI EUROPA LEAGUE 2016/17
Inter Milan imetinga katika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu nchini Italia, Serie A, baada ya ushindi wa 2 – 1 walioupata dhidi ya Empoli. Vijana hao wa Roberto Mancini walishindwa kufuzu nafasi ya kucheza UEFA Ch…Read More
MALIMI BUSUNGU NJE WIKI 4
KLABU ya Yanga jana iliikaribisha Sagrada Esperanca ya nchini Angola katika mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Africa, Yanga iliibuka na ushindi wa magoli 2 - 0, yaliyofungwa na Simon Msuva na Matheo Anthony.
Kat…Read More
0 comments:
Post a Comment