COPA AMERICA 2016
MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA ALFAJIRI YA LEO
Marekani 4 - 0 Costa Rica
Dempsy 8' (penati)
Jones 37'
Wood 41'
Zusi 86'
Dempsy akipongezwa baada ya kufunga goli la kwanza kwa mkwaju wa penati |
Colombia 2 - 1 Paraguay
C.Bacca 12' Victor Ayala 71
J. Rodriguez 30'
Bacca akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza |
James Rodriguez akishangilia goli lake |
Victor Ayala akifunga goli kwa shuti kali |
0 comments:
Post a Comment