Friday, January 13, 2017

HISTORIA YA LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED KWENYE EPL SEHEMU YA PILI


Kwa msomaji wetu mpya hii ni makala muendelezo wa historia kati ya Liverpool vs Manchester United katika michezo iliyowakutanisha wao(head to head) katika ligi kuu ya EPL tangu kuasisiwa kwa jina la EPL.
Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.


Siku
Timu
Uwanja
Refa
Washabiki
Matokeo
March 06, 1993        
       Liverpool 
            Vs
Manchester United


Anfield
Roger Milford
44,374
 1   -    2

WAFUNGAJI
kwa upande wa man u ni Mark Hughes 42’ na Brian McClair 56’
kwa upande wa Liverpool ni Ian Rush 50’

   VIKOSI  VILIVYOANZA
Liverpool
Manchester united
David James
Stig Inge Bjornebye
Rob Jones
Steve Nicol
Mark Wright
Don Hutchison
Steve McManaman
Jamie Redknapp
Paul Stewart  alipumzishwa 44’
John Barnes
Mark Walters alipumzishwa 78’

Peter Schmeichel
Paul Parker
Steve Bruce
Gary Pallister
Denis Irwin
Ryan Giggs
Paul Ince
Andrei Kanchelskis
Brian McClair
Lee Sharpe
Mark Hughes
Mark Walters


WACHEZAJI WA AKIBA
Liverpool
Manchester united
Mike Hooper
David Burrows aliingia 78’
Ian Rush  aliingia 44’
Les Sealey
rDion Dublin
Mike Phelan


KADI ZA NJANO
Man u 0 
Liverpool 0

KADI ZA NYEKUNDU
Man u 0 
Liverpool 0

Tutaendelea kesho na makala yetu tunaomba ushauri wako ili kuboresha huduma kwa ubora uupendao wewe.


0 comments:

Post a Comment