Thursday, January 12, 2017

LEO KATIKA HISTORIA MAN UNITED VS LIVERPOOL TANGU 1992 EPL(ENGLAND PREMIER LEAGUE)


Manchester united na liverpool jumapili hii January 15, 2017 watakutana katika mbio za kuwania taji la ligi kuu ya England, katika blog yetu tutakuletea historia nzima ya matokeo baina ya timu hizi mbili kuanzia pale ligi hii ilipojulikana kwa jina la Premier League mnamo mwaka 1992 nakuendelea
Tutakuletea vikosi vilivyocheza  refa aliechezesha, idadi ya magoli, wafungaji, na kadi za njano na nyekundu, tunafanya hivyo ili uweze kubashiri vizuri matokeo ya mchezo wa jumapili ukiwa na uhakika wa utabiri wako.


Siku
Timu
Uwanja
Refa
Washabiki
Matokeo
October 18, 1992         
Manchester United
              Vs
     Liverpool  

Old Trafford
Keith Hackett
33,243
 2    -    2

WAFUNGAJI
kwa upande wa man u ni Mark Hughes 78,’ 90’
kwa upande wa Liverpool ni Don Hutchison 23’ na Ian Rush 44’
   VIKOSI  VILIVYOANZA
Manchester united
Liverpool
Andrei Kanchelskis  alitoka dk 66

Jan Molby  alitoka dk 82
Jamie Redknapp alitoka 72


WACHEZAJI WA AKIBA
Manchester united
Liverpool
Clayton Blackmore aliingia dk 66

Nick Tanner aliingia dk 82
Michael Thomas aliingia dk 72


KADI ZA NJANO
Man u 0 
Liverpool  1 kwa Ian Rush 32’

Tutaendelea kesho na makala yetu tunaomba ushauri wako ili kuboresha huduma kwa ubora uupendao wewe.

1 comments: