Friday, May 27, 2016

JOSE MOURINHO ATANGAZWA RASMI KUWA KOCHA WA MANCHESTER UNITED

JOSE MOURINHO ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Manchester United kwa mkataba wa miaka 3.


Mourinho amechukua mikoba ya Louis Van Gaal na anakuwa kocha wa 25 kwa United.

Hii hapa ni tweet ya akaunti rasmi ya Machester United.




0 comments:

Post a Comment