Saturday, August 13, 2016

WALIOSAJILIWA NA KUACHWA TOTTENHAM MSIMU WA 2016-17

Kuelekea Msimu wa 2016-17 klabu ya Tottenham Hotspurs imekamilisha Usajili Ufuatao;

WALIOINGIA;
MCHEZAJI KLABU ALIYOTOKA ADA YA UHAMISHO

Victor Wanyama Southampton Pauni 11m
Vicent Janssen AZ Pauni 17m

WALIOONDOKA;
MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA ADA YA UHAMISHO

C.Paul Queens Park Rangers Huru
Emmanuel Sonupe Northamton Town Huru
Arman Daly ................. Huru
Grant Ward Sheffield W. Haijawekwa Wazi
Alex Pritchard Norwich City Pauni 8m
Dominic Ball Rotherham  United Haijawekwa Wazi
Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 

0 comments:

Post a Comment