Saturday, August 13, 2016

WALIOSAJILIWA,WALIOACHWA LEICESTER CITY MSIMU WA 2016-17

Kuelekea Msimu wa 2016-17 klabu ya Leicester City imekamilisha Usajili Ufuatao;

WALIOINGIA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOTOKA ADA YA UHAMISHO
R.Zieler Hannover 96 Haijawekwa Wazi
Luis Hernandez Sporting Gijon Huru
Raul Uche Rayo Vallecano Haijawekwa Wazi
Nampalys Mendy OGC Nice Pauni 13m
Ahmed Musa CSKA Moscow Pauni 16m
B.Kapustka Cracovia Pauni 7.5m

WALIOONDOKA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA ADA YA UHAMISHO
Andrej Kramaric 1899 Hoffenheim Haijawekwa Wazi
N'Golo Kante Chelsea Pauni 32m

WALIOTOLEWA KWA MKOPO;

MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA
Callum Elder Brentford
Michael Cain BlackPool
Hamza Choudhury Burton Albion

WALIOACHWA

MCHEZAJI;

Kyle Bailey
Jack Barmby
Jacob Blyth
Dean Hammond
Aaron Hassall
Michael Kelly
Keenan King
Paul Konchesky
Johnny Maddison
Harry Panayiotou
Mark Schwarzer
Max Smith-Varnam
Ryan Watson
Joe Dodoo

Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 



0 comments:

Post a Comment