Friday, April 8, 2016
Yanga Vs Al Ahly LIVE Bila Chenga
Related Posts:
Kipa Kagera Sugar Afariki Dunia Mlinda mlango wa Kagera Suga, David Burhani Amefariki dunia katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Taarifa kutoka kwa viongozi wa Kagera Sugar zinasema marehemu alikuwa akisumbuliwa na Malaria. Taarifa zaidi zinae… Read More
simba yaitungua yanga bila huruma Zanzibar Matuta yameamua mchezo wa yanga vs simba ndani ya uwanja wa amani. Mchezo ulianza kwa kasi huku kila timu ikishambulia kwa tahadhari kubwa na kujilinda kwa haraka. Piga nikupige zilianza pale msuva alipokokota m… Read More
Kocha Mwadui Aitabiria Ubingwa Yanga Kocha wa klabu ya Mwadui FC, Ali Bushiri ameitabiria ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara (VPL 2016/17) klabu ya Yanga kufuatia kandanda safi liliopigwa na vijana hao wa Jangawani wakati timu yake ya Mwadui FC ilipolala kwa jum… Read More
Omog:"Mashabiki Simba Wakubaliane Na Matokeo" Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi Simba, amewataka wapenzi na mashabiki wa Simba kuwa watulivu na kukubaliana na matokeo. Simba iliyokuwa inaongoza katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara, imeshushwa katika nafasi ya pil… Read More
Rufaa ya polisi Dar es Salaam dhidi ya mchezaji wa simba Novalty Lufunga kucheza huku akiwa na kadi nyekundu yagonga mwamba Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania limeitupilia mbali rufaa ya timu ya polisi Dar es salaam waliokata kutaka wapewe ushindi katika mchezo wao wa raundi ya tano ambao simba ilishinda kwa 2 -0, Mchezaji N… Read More
0 comments:
Post a Comment