Taarifa kutoka kwa viongozi wa Kagera Sugar zinasema marehemu alikuwa akisumbuliwa na Malaria.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Burhani Aliumwa ghafla wakiwa njian kuelekea Singida kwenye mechi ya Azam Federation Cup. Na waliporudi Kagera hali yake ikazidi kuwa mbaya na hivyo kukimbizwa Bugando kabla ya umauti kumkuta leo hii
SOKA24 INAUNGANA NA WADAU WOTE WA SOKA WALIOGUSWA NA MSIBA HUU
MUNGU AILAZE ROHO YA BURHANI MAHALA PEMA PEPONI AMEEN!!!
0 comments:
Post a Comment