LIGI KUU TANZANIA BARA
MZUNGUKO WA PILI
RAUNDI YA 20
Yanga 2 - 0 Mwadui
Chirwa 69', 83'
Yanga Sasa inapanda katika nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara kwa kujikusanyia jumla ya alama 46 wakitofautiana alama moja tu na mahasimu wao Simba wanaoshika nafasi ya pili wakiwa na alama 45 baada ya kucheza michezo 20.
0 comments:
Post a Comment