Round ya kwanza ya
ligi kuu Tanzania Bara imefikia tamati jana na mtifuano upo nafasi tatu za juu
wakati azam fc wakionekana kuzinduka huku vinara simba fc wakipoteza pointi
sita katika michezo miwili mfululizo, na wakati huohuo mabingwa wa ligi hiyo
yanga wao wanaendelea kuikaribia simba.
Wakati timu zilizopo
mkiani zikiendelea kupokezana nafasi mara leo hii kesho ile ila mpaka sasa toto
Africans ndio timu inayoshika mkia wa ligi hiyo.
Msimamo ni kama
unavyoonekana
0 comments:
Post a Comment