Monday, October 3, 2016

Di Mateo afungashiwa virago


mzimu wa timua timua makocha ndani ya Aston villa imeendelea baada ya kumfungashia virago kocha mwenye mafanikio na chelsea katika ligi ya mabingwa barani ulaya.mbali na D mateo Aston Villa ndani ya mwaka mmoja wametimua makocha watano tangu ujio wa boss wa kichina alie inunua timu hiyo.
   makocha waliohudumu na kutimuliwa ndani 2015/2016 -2016/2017 ni
  • Tim Sherwood: Feb-Oct 2015
  • Kevin MacDonald (caretaker): Oct-Nov 2015
  • Remi Garde: Nov 2015-March 2016
  • Eric Black (caretaker): Mar-Jun 2016
  • Roberto di Matteo: Jun-Oct 2016
 JE NI NANI KUMRITHI D MATEO?

Related Posts:

  • KIIZA, JUUKO MURSHID WAINGIA MATATANI SIMBA Uongozi wa Klabu ya Simba umesema straika wao, Hamisi Kiiza na beki wa timu hiyo, Juuko Murshid, watatakiwa kuandika barua za kujieleza kutokana na kuchelewa kujiunga na wenzao ambao wapo katika maandalizi ya michezo ya Li… Read More
  • "MARIO GOTZE ATAKUWA MJINGA KWENDA LIVERPOOL"Supastaa wa Bayern Munich Robert Lewandowski amemshauri Mario Gotze kukataa ofa yoyote Liverpool watakayompa kwa usajili wa majira ya joto Mcheka na nyavu huyo wa Poland anaamini Gotze anaweza kuthibiti kama moja ya wachezaj… Read More
  • TAARIFA KWA WANAOSUBIRI MECHI KATI YA YANGA NA AL AHLYUongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young Africans leo April 6 kupitia kwa afisa habari wake Jerry Muro ameongea na vyombo vya habari na kuelezea taarifa za mchezo wao wa klabu Bingwa barani Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri uta… Read More
  • PSG KUENDELEZA UBABE KWA VILABU VYA EPL? Vilabu tajiri zaidi duniani vinakutana leo usiku kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, kitu cha kuvutia ni kwamba vilabu vyote hivi vinahitaji kufuzu ili kuingia hatua ya nusu fainali ya mash… Read More
  • ANTONIO CONTE KOCHA MPYA CHELSEA Antonio Conte amesaini miaka mitatu kuifundisha Chelsea akitokea Juventus aliyowahi kung’ara akiwa mchezaji na baadaye kocha. Conte sasa anachukua nafasi ya kocha wa muda wa Chelsea, Guud Hiddink. Cheki baadhi ya picha … Read More

0 comments:

Post a Comment